Ruka hadi maudhui
1 / 8
Inasimamiwa na ISHIIko wazi sasa

Nyumba ya vyumba 2 vya kulala, Ongata Rongai

KES 22,000 kwa mwezi

  • Vyumba 2 vya kulala
  • Bafu 1
  • Futi za mraba 680
  • Ghorofa: 3

Ongata Rongai · Off Magadi Road, Rongai

Utakacholipa ili kuhamia

Kila kitu unachopaswa kulipa kabla ya kupewa funguo.

Kodi ya mwezi wa kwanza
KES 22,000
Amana
KES 22,000
Ada ya huduma
KES 300
Water deposit
KES 1,000
Jumla ya kuhamia
KES 45,300

Usilipe chochote kabla ya kuona nyumba

Usitume pesa yoyote, hata ada ya kuhifadhi, hadi uwe umeiona nyumba kwa macho yako.

Kuhusu nyumba hii

Two bedroom flat with a balcony, built-in wardrobes and a separate kitchen. Gated compound with parking, a short walk to Magadi Road.

Maelezo haya yameandikwa na wakala.

Huduma zilizopo

  • Maji ya borehole
  • Mita ya token
  • Maegesho ya gari
  • Ina geti
  • Roshani (balcony)
  • Kabati za nguo
  • Sakafu ya vigae (tiles)
  • Karibu na stage ya matatu

Mahali ilipo

Imetangazwa na ISHI